Hojaji hii itakusaidia wewe na mtaalamu wako wa huduma ya afya kupima athari za Ugonjwa wako wa Mapafu na Sehemu Nyingine za Mfumo wa Kupumua kwa ustawi wako na maisha yako ya kila siku. Majibu yako na alama za tathmini zinaweza kutumiwa na wewe na mtaalamu wako wa huduma ya afya kusaidia kuboresha udhibiti wa Ugonjwa wako wa Mapafu na Sehemu Nyingine za Mfumo wa Kupumua na kupata manufaa makubwa zaidi kutokana na matibabu.
Mfano:
The COPD assessment test (CAT) and the Chronic Airways Test (CAAT) were developed by an interdisciplinary group of international experts with support from GSK. CAT and CAAT activities are monitored by a supervisory council that includes independent experts, one of which is chair of the council. CAT, COPD Assessment Test, CAAT, Chronic Airways Assessment Test and the CAT logo are trademarks of the GSK group of companies. ©2009-2024 GSK ‘Group of Companies’ or its licensor. All rights reserved.